×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo Wikendii: Walioshamiri kwenye mashindano ya kriketi ya Qua-Drangula, Septemba 25 2016

25th September, 2016

Washindi na wale walioshamiri kwenye mashindano ya kriketi ya Qua-Drangular walitunukiwa hapo jana katika dhifa maalum iliyoandaliwa na shirikisho la kriketi nchini. Mashindano hayo yaliyoandaliwa nchini Kenya kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu yalishirikisha nchi nne zikiwemo Saudi Arabia, Qatar na Uganda. Kenya iliibuka na ushindi baada ya kuwalaza Saudi Arabia katika fainali. Miongoni mwa waliotunukiwa ni Nelson Odhiambo na Ifran Karim ambaye aliteuliwa mchezaji bora wa mashindano hayo. 

.
RELATED VIDEOS