x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Tembea Kenya: Ufuo maarufu katika pwani ya Kenya

03, Sep 2016

Bila shaka mtazamaji unafahamu pwani ya Kenya kwa mandhari mazuri ya kubarizi. Lakini ulifahamu kwamba kuna bahari ya kipekee ambapo ukizuru hutatamani kutoka kwani mbali na kuogolea utajihisi kwamba uko nyumbani? kwenye makala ya Tembea Kenya Sycilia Wakesho na Moses Baya wanatupeleka katika ufuo wa bahari ya Pirates ambako kando na kuliwaza moyo wafanyabiashara wamebuni mbinu za kuwavutia wageni wao kwa njia maalum kabisa.

RELATED VIDEOS


Feedback