x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

KTN Leo Wikendi 27th August 2016 - Hafla ya mikimbio ya Ngamia mjini Samburu

27, Aug 2016

Zaidi ya ngamia 200 watashiriki katika mashindano ya kimataifa ya ngamia mjini Maralal. Ili kufanikisha mashindano hayo bodi ya utalii nchini KTB imefanya kliniki maalum ya kuwatibu na kuwatayarisha ngamia hao kwa mshindano hayo yanayofanyika katika kambi maalum ya ngamia ya Yare. Mashindano ya mwaka huu yakiwa yamewavutia watalii wengi zaidi kutoka maeneo mengine ulimwenguni kuliko mashindano ya miaka ya nyuma. KTB inanuia  kutumia  shilingi  milioni kumi na nne  kwa  ufadhili wa mashindano hayo. Mashindano hayo ni ya  kuonyesha tamaduni  tofauti  tofauti  kutoka jamii zinazoishi katika kaunti ya Samburu  kama vile Samburu, Borana, Turkana, Pokot  na Rendille .

Feedback