×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

KTN Leo Wikendi 27th August 2016 - Maafisa wa NOCK wahojiwa kutoka na kashfa ya Rio

27th August, 2016

Huenda maafisa watatu wa kamati ya olimpiki nchini wakakumbana na baridi ya korokoroni wakihitajika kueleza wanachojua kuhusu sakata ya rio. Maafisa hao waliopelekwa katika makao makuu ya polisi wamelaumiwa kwa mateso waliopitia wanariadha waliposafiri brazil kuwakilisha kenya.  Waziri wa michezo Hassan Wario alikuwa amefutilia mbali NOCK kutokana na kashfa hiyo.

.
RELATED VIDEOS