Patrick Muthomi aliyetafuta ajira akitumia bango amepata kazi katika kampuni ya Chandaria Industries
22nd August, 2016
Patrick Muthomi, ambaye aliyegonga vichwa vya habari kwa kutafuta ajira akitumia bango alilokua amelibeba barabara kuu ya Thika, sasa amejaaliwa kupata kazi katika kampuni ya Chandaria Industries hapa jijini Nairobi.