.
22nd August, 2016
Kenya ikiadhimisha miaka 38 hii leo tangu hayati Mzee Jomo Kenyatta kuaga dunia, jengo linalohifadhi mabaki yake limesalia siri ya jamaa na marafiki tu. Hata hivyo wakenya huenda wakapata fursa ya kuingia mle ndani kama mwanahabari