×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Jamaa amwangamiza mwanawe juu ya maziwa mjini Nakuru

16th August, 2016

Jamaa mmoja wa miaka 35 anashukiwa kumuangamiza mwanawe wa miaka sita katika kijiji cha Kanorero Gatuzi la Elementaita kaunti ya Nakuru. Godfrey Muiruri alizozana na mke wake Hannah Nyambura alipotaka kunywa maziwa ya mwanawe na kupandwa na ghadhabu kabla ya kutekeleza kitendo hicho cha kinyama

.
RELATED VIDEOS