×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Viongozi wahudhuria kikao cha uchaguzi marekani

26th July, 2016

Kiongozi wa chama cha ANC Musalia Mudavadi na wa NARC Kenya Martha Karua wameelezea kujifunza mengi kwenye kongamano la chama cha democratic nchini marekani ambapo Hilary Clinton alipewa rasmi tiketi ya kugombea urais. Mudavadi na Karua wamekuwa miongoni mwa wakenya wachache waliohudhuria kongamano hilo la jana. Mudavadi amesema kwamba marekani ina uzoefu mkubwa kwenye masuala ya vyama vya siasa na jinsi ya kuvisimamia vyema kwa hivyo kutangamana na wanasiasa wa nchi hiyo kunaongeza maarifa yanayoweza kuboresha siasa za Kenya
.
RELATED VIDEOS