Joseph Mutava alianza kujitetea katika jopo linalomchunguza kuhusu mienendo yake
13th July, 2016
Jaji wa Mahakama Kuu aliyesimamishwa kazi Joseph Mutava alianza kujitetea hii leo katika jopo linalomchunguza kuhusu mienendo yake inayodaiwa kukiuka maadili ya kazi. Mutava amelaumiwa kwa kumuondolea lawama mfanyibishara Kamlesh Pattni kuhusu mashtaka yanayoambatana na kashfa ya Goldenberg ambapo Kenya ilipoteza mabilioni ya pesa kwa biashara zisozoeleweka,