×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mawakili wanaowakilisha wakili Willie Kimani wataka mto wa Oldonyo Sabuk upewe ulinzi

12th July, 2016

Mawakili wanaowakilisha wakili Willie Kimani, mteja wake Josephat Mwenda na dereva Joseph Muiruri waliouawa hivi majuzi wametoa ombi kwamba mto wa Oldonyo Sabuk upewe ulinzi hasa kwa kuwa maiti zao zilipatikana humo. Maswali pia yameibuka kuhusu walipokuwa polisi wakati kundi la waandamanaji liliteketeza kituo cha Syokimau. Hayo yameibuka kwenye kesi inayoendelea ya mauaji hayo. Nick Wambua anaarifu
.
RELATED VIDEOS