×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

David Kimaiyo azungumzia ufisadi katika viwanja vya ndege nchini

11th July, 2016

Aliyekuwa Mkuu wa Polisi David Kimaiyo hatimaye amezungumzia hatua ya kuondolewa kwenye wadhifa wa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa mamlaka ya viwanja vya ndege nchini. Kimaiyo amesema kuwa aliondolewa katika mamlaka hiyo kwa kukabili mienendo ya ufisadi uliokithiri. Rais Kenyatta alimwondoa Kimaiyo kwenye bodi hiyo baada ya kuhudumu kwa muda usiozidi miaka miwili. Kimaiyo kwa sasa anaendesha kilimo na ufugaji nyumbani,katika Kaunti ya Elgeyo Marakwet.
.
RELATED VIDEOS