Rais Uhuru Kenyatta apokea waziri mkuu wa India Bw. Narendra Modi
10th July, 2016
Waziri mkuu wa taifa la india anazuru Kenya kwa siku mbili. Baada ya kuwasili Narendra Modi amekutana na jamii ya Wahindi wanaoishi nchini katika uwanja wa Kasarani. Aidha Modi anatazamiwa kufanya mazungumzo na rais Uhuru Kenyatta mapema hapo kesho kujadili maswala muhimu yanayoshirikisha Kenya na India.