Gathabu kwa muimbaji amarufu wa Amerikani Madonna kuzuru humu nchini
7th July, 2016
Muimbaji maarufu wa marekani Madonna alizuru humu nchini wiki jana na mapema wiki hii akiwa na mkutano maaalum na mama wa taifa bi Margaret Kenyatta. Hata hivyo katika safari yake alizuru mitaa ya Kibera na hata kufika kaunti ya Samburu na kisha kuweka picha ambazo hazikuwafurahisha sana Wakenya. Tazama taarifa ifuatayo.