Tofauti kati ya mitaa ya Jericho, Jerusalem na Tel-Aviv humu nchini na miji yenyewe ya Israel
6th July, 2016
Je wafahamu chimbuko la baadhi ya majina ya mitaa ya humu nchini?. Mitaa kama Jericho, Jerusalem na Tel-Aviv ambayo ni majina ya miji ya Israel. Wakati Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu akihitimisha ziara yake humu nchini Lofty Matambo aliizuru mitaa hii na kutupa taswira linganishi ya maisha ya mitaa ya humu nchini na miji yenyewe ya Israel.