×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kampuni ya East African Sea Foods imekuwa ikiingiza nchini samaki kutoka Uchina kwa bei rahisi

5th July, 2016

Licha ya kujengwa kwenye ufuo wa Ziwa Victoria, kampuni ya East African Sea Foods imekuwa ikiingiza nchini samaki kutoka Uchina kwa bei rahisi…. Licha ya hatua hiyo kuwasikitisha Wabunge wa eneo la Ziwa wanaodai inasambaratisha soko la samaki la Kenya, wakazi wa Kisumu wamekaribisha hali hiyo wakisema samaki hao si wa bei ghali kama wanaovuliwa Ziwa Victoria. Rashid Ronald anaarifu kutoka Kisumu.
.
RELATED VIDEOS