×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Upasuaji wa maiti za watu watatu waliopatikana katika mto wa Ol Donyo Sabuk bado unaendelea

4th July, 2016

Upasuaji wa maiti za watu watatu waliouwawa na miili yao kupatikana katika mto wa Ol Donyo Sabuk bado unaendelea. Watatu hao, wakili Willy Kimani, mteja wake Josephat Mwenda na dereva wa texi Joseph Muiruri wanashukiwa kuuwawa na maafisa wa polisi wa utawala, washukiwa ambao tayari leo walifikishwa mahakamani. Mashirima Kapombe ana maelezo zaidi.
.
RELATED VIDEOS