Mwandishi maarafu wa Vitabu vya fasihi, Elechi Amadi afariki nchini Nigeria
30th June, 2016
Mwandishi mashuhuri wa vitabu vya fasihi andishi kwa lugha ya kimombo, Elechi Amadi ameaga dunia.
Mwandishi huyo raia wa Nigeria amesifika sana kwenye uandishi wa vitabu vinavyoangazia maisha ya mwafrika na tamaduni zake kama anavyosimulia Frank Otieno.