Wanyama pori katika mbuga ya Amboseli wamo hatarini kufuatia ongezeko la watu wanosihi karibu
25th June, 2016
Sasa ni dhahiri zaidi kuwa wanyama pori katika mbuga ya Amboseli wamo hatarini kufuatia ongezeko la watu wanosihi karibu na mbuga hiyo. Hatari hiyo imeonekana zaidi baada ya ndovu anayeaminika kuwa miongoni mwa ndovu wakubwa zaidi ulimwenguni anaiyeshi katika mbuga hiyo kujeruhiwa kwa mkuki. Yadaiwa kuwa ndovu huyo anayeitwa Tim alifumwa mkuki na wakulima wanaoishi karibu na hifadhi ya kimana iliyoko kwenye mbuga hiyu. Hii hapa taarifa kamili.