×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Aliyekuwa makamu wa rais katika serikali DRCongo Jean-Pierre Bemba amehukumiwa kifungo cha miaka kum

21st June, 2016

Aliyekuwa makamu wa rais katika serikali ya Mpito ya Jamhuri ya Demokrasia ya Congo Jean-Pierre Bemba amehukumiwa kifungo cha miaka kumi na minane gerezani. Hukumu hiyo imetolewa adhuhuri ya leo na mahakama ya jinai ya kimataifa ya ICC. Bemba anakabiliwa na tuhuma za kuchochea ubakaji na mauaji katika taifa jirani la Central African Republic kati ya mwaka wa 2002-2003. Bemba alikuwa kiongozi wa kwanza kupatikana na kosa la ukiukaji wa haki za kibinadamu na pia kutakiwa kuwajibikia makosa yaliyotekelezwa na waliokuwa chini ya uongozi wake. Bemba alikamatwa mwezi mei mwaka 2008 baada ya ilani ya kukamatwa kwake kutolewa na mahakama ya ICC. Japo wakati huo alikabiliwa na mashtaka matatu ya ukiukaji wa haki za kibinadamu na matano ya uhalifu wa kivita, oktoba mwaka 2010, mahakama ya ICC ilipunguza mashtaka dhidi yake hadi mawili ya ukiukaji wa haki za kibinadamu na matatu ya uhalifu wa kivita.Watetezi wake wanamtaja kuwa shujaa wakidai kwamba tuhuma zinazomkabili zinatokana na njama ya jam
.
RELATED VIDEOS