Rabsha zazuka katika afisi za CORD za Capitol Hill
8th June, 2016
Rabsha zilizuka hii leo katika afisi za CORD za Capitol Hill baada waandamanaji wanaopinga maandamano dhidi ya tume huru ya uchaguzi IEBC kukabiliana na wafuasi wa CORD.Geff Kirui na taarifa kwa kina