Suala la IEBC laangaziwa katika Mazishi ya Soita Shitanda
4th June, 2016
Rais Uhuru Kenyatta amekuwa miongoni mwa waombolezaji katika mazishi ya aliyekuwa waziri wa nyumba wakati wa utawala wa rais mustaafu Mwai Kibaki marehemu Soita Shitanda katika kaunti ya Kakamega. Katika mazishi hayo jirongo na naibu rais William Ruto walizomeana,