Muhoroni Youth yaazimia kumaliza katika mabano ya timu tatu bora ili kutwaa taji la Ngao ya Go-tv
19th May, 2016
Azimio la klabu ya Muhoroni Youth ni kumaliza katika mabano ya timu tatu bora msimu huu na kutwaa taji la Ngao ya Go-tv. Kwa sasa timu hiyo iko katika nafasi ya 6 huku Ligi kuu ikijongea kufika nusu ya msimu.Hassan Jumaa na taafifa zaidi.