Rubani wa ndege iliyokuwa imeubeba mwili wa Jacob Juma anakiri kuwa hana makosa
18th May, 2016
Kanda ya sekunde chache iliyomwonyesha jamaa anayefahamika sasa kama James Bond iliibua maswali mengi kumhusu rubani wa ndege hiyo aina ya helicopter. Mwanahabari Saida Swaleh alifaulu kumpata rubani Evans Sigilai anayekiri kuwa hana makosa ila ni idara ya polisi haikufanya maandalizi kabambe ya kutua kwa ndege hiyo na hakuwa na ufahamu kumhusu saleh nanjala aliyening’inia.