Tembea Kenya: "Crane Heavens" Kaunti ya Trans Nzoia
14th May, 2016
Hii leo kwenye makala yetu ya kila jumamosi ya Tembea Kenya tunaangazia eneo moja katika eneo la Trans Nzoia, “Crane Heavens”. Elvis Kosgei alizuru eneo hilo na kutuandalia taarifa ifuatayo.