Mwanamke awachinja pacha wake vinyama katika kaunti ya Nairobi eneo la Kamukunji
12th May, 2016
Tunaanza taarifa zetu kwa kisa cha kusikitisha cha mwanamke mmoja jijini Nairobi kuwachinja wanawe pacha ambao wamezaliwa wiki tatu zilizopita. Wakazi wa eneo la Kamukunji nusra wamuue mwanamke huyo baada ya kupata habari za mauaji hayo katili.