Rais Kenyatta Ahudhuria Uapishwaji wa Rais Museveni jijini Kampala Uganda
12th May, 2016
Rais Uhuru Kenyatta alikuwa miongoni mwa marais na wageni waalikwa katika sherehe za kuapishwa kwa Yoweri Kaguta Museveni kuanza mwongo wa nne wa utawala wake nchini Uganda. Mshindani wa Museveni wa Kizza Besigye anazuiliwa baada ya kujitangaza jana kuwa Rais. Lofty Matambo anaarifu.