x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wanasiasa wakashifu Serikali vikali kutokana na mauwaji ya Mwanabiashara, Jacob Juma

12, May 2016

Serikali imekosolewa vikali wakati wa misa ya kumpa mkono wa buriani mfanyabiashara mashuhuri Jacob Juma katika kanisa la All Saints Cathedral jijini Nairobi. Viongozi wa upinzani na wanasiasa wa eneo la magharibi wameibua madai makali na kutoa wito kwa mkuu wa polisi, Bw. Boinnet, kukamilisha uchunguzi wakidai wauaji wa mfanyabiashara huyo wanajulikana. Francis Mtalaki na maelezo kamili.

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback