x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Jamaa mmoja atJamaa mmoja ataka haki baada ya kupigwa risasi na polisi kimakosa miaka 9 iliyopitaaka

11, May 2016

Jamaa mmoja katika kaunti ya Nyeri analilia haki baada ya kupigwa risasi na polisi kimakosa miaka 9 iliyopita. John Kairia Mwangi alikuwa mwanafunzi wa kidato cha pili alipokumbwa na kisirani hicho na hadi sasa hana uwezo wa kujifanyia chochote. Wazazi wake wamekuwa wakitafuta njia za kuwashinikiza polisi kuwajibika bila mafanikio. Carol Nderi anaarifu

RELATED VIDEOS


Feedback