x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Mwalimu apigwa risasi kimakosa na polisi Siaya

10, May 2016

Familia moja mjini Nakuru inalilia haki baada ya mwenzao kupigwa risasi na polisi katika eneo moja la kaunti ya Siaya. Kwa mujibu wa polisi wa eneo hilo . Colleta Rose Amondi ambaye alikuwa mwalimu wa shule ya upili ya wambasa alipigwa risasi kimakosa wakati maafisa wa usalama wakiwafuata wahalifu.

RELATED VIDEOS


Feedback