Mzozo wanukia huku TNA ikitangaza maandamano kukabiliana na yale ya CORD
10th May, 2016
Kinara wa CORD Raila Odinga amemwandikia barua rais Uhuru Kenyatta kutaka mazungumzo ya kuifanyia marekebisho tume ya uchaguzi IEBC. Raila ametoa wito huo huku chama cha TNA kikitangaza maandamano sambamba na CORD ila yao ni kupinga njia ambayo cord inataka kuibandua IEBC. Katibu wa TNA Onyango Oloo anasema njia za kisheria zinafaa kufuatwa kuibandua IEBC