x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Jengo laporomoka Nyali, Mombasa

09, May 2016

Wiki 2 baada ya mkasa wa jengo kubomoka katika mtaa wa Huruma hapa Nairobi, sehemu ya jengo moja mjini Mombasa imeporomoka. Jengo hilo lenye duka la jumla la Naivas na maduka mengine ya rejereja katika mtaa wa Nyali lilibomoke sehemu ya vyoo usiku wa kuamkia leo. Kulingana na mamlaka ya kaunti ya Mombasa,hakuna aliyejeruhiwa kwenye mkasa huo.

RELATED VIDEOS


Feedback