x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Viongozi wa CORD waongoza maandamano Nairobi kushinikiza magauzi katika IEBC

09, May 2016

Viongozi wa CORD Raila Odinga, Kalonzo Musyoka na Moses Wetangula kwa mara nyingine wameelekeza maandamano katika makao makuu ya IEBC hapa jijini Nairobi wakishinikiza tume hiyo ifanyiwe mageuzi kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Hata hivyo azimio lao kuingia ndani ya jengo la Annversary lilisitishwa baada ya kutimuliwa kwa vitoza machozi.

Feedback