x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Gavana Evans Kidero awapa wamiliki wa vyumba siku 90 kuhakikisha majengo yao yamekaguliwa

08, May 2016

Gavana wa Nairobi Daktari Evans Kidero ametoa makataa ya siku tisini kwa wamiliki wa vyumba jijini nairobi kuhakikisha kwamba majengo yao yamekaguliwa la sivyo yabomolewe. Makataa hayo yanatolewa kufuatia kuporomoka kwa jengo la makazi katika mtaa wa huruma na kuwaua watu zaidi ya hamsini ijumaa iliyopita.gavana kidero ambaye alikuwa akizungumza katika kanisa la all saints cathedral baada ya hafla maalum kwa askofu eliud wabukala anayestaafu baada ya kuhudumu kwa miaka 7, amesema kwamba changamoto katika kubomoa majengo hayo ni pale wamiliki wanapoelekea mahakamani na kupinga ubomozi.

RELATED VIDEOS


Feedback