x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Tawi la Nakumatt Ukay lafungwa kufuatia hasara ya mafuriko

08, May 2016

Tawi la Westlands la maduka ya jumla ya Nakumatt linalofahamika kama Nakumatt Ukay limefungwa kwa muda usiojulikana, ili kuweza kuwapa wamiliki muda wa kutathmini kiwango cha hasara kilichofikiwa usiku wa jana baada ya mvua kubwa kunyesha hapa jijini Nairobi. Wenye magari nao walijipata taabani wakati magari yao yaliposombwa na maji. Hii hapa tarifa yake Saida Swale.

RELATED VIDEOS


Feedback