×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Idadi ya walioaga dunia katika mkasa wa Huruma yafikia 51

8th May, 2016

Idadi ya walioaga dunia kufuatia mkasa wa huruma imefikia 51, hii ni baada ya miili miwili zaidi kupatikana usiku wa kuamukia leo. Aidha wale wasiojulikana waliko wameripotiwa kuwa 28 huku shughuli za uokozi zikielekezwa katika mto nairobi katika muda wa mwisho mwisho wa shughuli hiyo. Shughuli ya uokozi imechukua zaidi ya siku nane sasa huku wanaotakiwa kuhama kutoka nyumba zinazopakana na jumba la mkasa wakilalamikia mpangilio duni.
.
RELATED VIDEOS