Wanasiasa wa Magharibi mwa Kenya wakeleleka kuhusi mauwaji wa Jacob Juma
7th May, 2016
Viongozi kutoka magharibi mwa Kenya anakotoka mfanyi biashara mashuhuri Jacob Juma aliyeuwawa jana wameendela kushutumu kitendo cha mauaji yake. Viongozi hao akiwemo kiongozi wa chama cha ANC Musalia Mudavadi sasa wanaitaka serikali kufanya uchunguzi wa kina na kuwawajibisha waliohusika.