x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Miili minne yapatikana katika maafuriko wa jumba la Huruma

07, May 2016

Miili mingine mitatu imepatikana leo eneo la mkasa wa Huruma na kufikisha idadi ya waliofariki hadi 48 huku ubomozi wa makazi hatari ukiendelea. Kufikia sasa, idadi ya watu waliookolewa ni 140 huku ya wasiojulikana wakiwa 55. Aidha, mifugo zaid wanaendelea kupatikana wakiwemo kuku, bata mzinga na paka kufikia saa kumi za jioni. Nao wakazi wa majumba yaliyokaribiana na eneo la mkasa wakiendelea kuhama. Shughuli ya kubomoa majumba manane mtaani pia inaendelea.

POPULAR NEWS VIDEOS


03

RELATED VIDEOS


Feedback