x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Buriani ya Mama Lucy Kibaki yafanyika Othaya katika Kaunti ya Nyeri

07, May 2016

Mama Lucy Kibaki amezikwa hii leo nyumbani kwake katika Kaunti ya Nyeri huku Maelfu ya waombolezaji wakihudhuria ibada yake ya wafu. Rais Uhuru Kenyatta aliongoza ujumbe wa serikali ya Kenya sawa na Rais Mustaafu wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete aliyesoma salamu za rambirambi kutoka kwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli. Wanenaji wakiwemo watoto wa Mama Lucy walimsifia kwa kulinda familia yake na Rais Mustaafu Mwai Kibaki. Mwanahabari Carol Nderi ametuandalia taarifa ifuatayo.

RELATED VIDEOS


Feedback