×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

FIFA limefungua uchunguzi dhidi ya aliyekuwa naibu wa rais wa shirika hilo Jeffrey Webb

5th May, 2016

Kitengo cha maadili cha shirika la soka duniani FIFA limefungua uchunguzi dhidi ya aliyekuwa naibu wa rais wa shirika hilo Jeffrey Webb. Webb alikuwa pia amewahi hudumu kama mkuu wa shirika la soka amerika kaskazini na kati ambako anakumbwa na madai ya ufisadi. Maafisa wengi wa shirika hilo akiwemo aliyekuwa Rais Sepp Blatter wanachunguzwa ama wana kesi ya kujibu kutokana na ufisadi.
.
RELATED VIDEOS