x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Tume ya IEBC imesema hawatabanduka uongozini kutokana na vitisho vya WanaCORD

05, May 2016

Tume ya uchaguzi IEBC imekariri kuwa makamishna wake hawatabanduka uongozini kutokana na vitisho vya WanaCORD. Kwenye kikao cha wanahabari mwenyekiti wa tume hiyo Isaack Hassan amesema makamishna wamekuwa wakitekeleza majukumu yao kama ilivyo chini ya katiba. Tume hiyo sasa imewataka WanaCORD kukoma kuwasuta na kumtaka kinara wa muungano huo Raila Odinga kutoa ushahidi kuthibitisha madai kwamba tume ina njama ya kuhusika kwenye wizi wa kura . Francis Mtalaki anaarifu

RELATED VIDEOS


Feedback