Wenyeji wa Makueni na Kitui wapinga ujenzi wa bwawa linalotarajiwa kuzindliwa na rais Uhuru
4th May, 2016
Wenyeji wa Makueni na Kitui maeneo ya Mavindini wamepinga vikali ujenzi wa bwawa kubwa zaidi Ukambani linalotarajiwa kuzindliwa rasmi na rais Uhuru Kenyatta mwezi Mei. Licha ya mamalalamiko yao , wenyeji wamesema kuwa serikali imewaweka pembeni na huenda wakapoteza ardhi yao.