x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wafanyikazi na viongozi Bungoma wataka mkataba wa Pan-Paper kuwekwa wazi

04, May 2016

Licha ya tangazo la serikali wiki jana la kufunguliwa tena kwa kiwanda kilichofilisika cha Pan-Paper mjini Webuye kaunti ya Bungoma, baadhi ya wafanyikazi na viongozi wa eneo hilo wameelezea wasiwasi wao juu ya uhalisia kamili wa mkataba ulioafikiwa kukiuza kiwanda hicho kwa muekezaji wa kibinafsi, huku wakiitisha mkataba huo kuwekwa wazi.

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback