Jinsi polisi walivyowashambulia wakaazi wa Huruma wakati wa ziara ya vinara wa CORD
4th May, 2016
Huku shughuli ya uokoaji zikiendelea eneo la Huruma Nairobi, makali ya udhalimu wa vikosi vya usalama yalidhihirika Jumanne wakati ambapo vinara wa CORD walipowasili. Mbali na vitoa machozi, wakazi walishambuliwa kwa mijeledi, wengine wakipata majeraha kama kuvunjika walipokua wakikwepa askari.