×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mafunzo ya tarakilishi yaanzishwa Eldoret kufanikisha mradi wa serikali

3rd May, 2016

Maafisa kutoka kwa mamlaka ya teknolojia, wizara ya elimu na tume ya huduma za walimu kwa ushirikiano na chuo kikuu cha Moi wameanzisha mafunzo ya tarakilishi ya wiki moja katika chuo kikuu cha moi Eldoret. Tayari serikali imeanzisha mradi huo wa kupeana tarakilishi katika shule za msingi.
.
RELATED VIDEOS