x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Peter Munya awaongoza magavana wenzake kumfariji rais mustaafu Mwai Kibaki

03, May 2016

Mwenyekiti wa baraza la magavana Peter Munya awaongoza wenzake kumfariji rais mustaafu Mwai Kibaki kutokana na kifo cha mkewe mama Lucy Kibaki . Wakati huo huo serikali imetoa ratiba ya maziko ya Mama Lucy Kibaki.. Ibada ya wafu itafanyika katika kanisa la Consolata Shrine. Mipango hiyo imetangazwa na katibu katika wizara ya mambo ya nje Karanja Kibicho.

RELATED VIDEOS


Feedback