×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Miujiza: Mtoto wa miezi saba aokolewa akiwa hai kutoka kwa vifusi vya jumba lililoporomoka Huruma

3rd May, 2016

Tunaanza kwa habari njema kutoka sehemu ya tukio la maporomoko ya nyumba mtaani Huruma ambapo mtoto wa kike wa miezi saba aliokolewa akiwa hai saa kumi alfajiri ya leo. Kulingana na waokozi wa shirika la msalaba mwekundu, mtoto huyo amekuwa kwenye vifusi vya jumba hilo kwa siku nne. Aidha mwili wa mwanamke mmoja ulipatikana kwenye chumba alichokuwa mtoto huyo.
.
RELATED VIDEOS