x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Msasa wa vyeti vya elimu ya mbunge wa Kabete Ferdinand Waititu

02, May 2016

Tetesi na cheche za maneno baina ya gavana wa Kiambu William Kabogo na mbunge wa Kabete Ferdinand Waititu kuhusiana na elimu ya mbunge huyo zinazidi kugonga vichwa vya habari huku Kabogo akisema kuwa Ferdinand Waititu alitumia vyeti ghushi vya shule kuwania nafasi ya Ugavana na kutumia jina la Clifford Ndung’u Waititu anayeaminika kuwa ndugu yake. Mwanahabari wetu mpekuzi Mohamed Ali amekuwa akifuatilia matukio haya na kutuandalia taarifa ifuatayo

RELATED VIDEOS


Feedback