x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Tapeli apewa kichapo cha umbwa na wananchi Narok

02, May 2016

Matapeli wawili walinusurika kifo baada ya kushambuliwa na umma huko Narok. Mmoja wa matapeli hao alinyeshewa mvua ya ngumi na mateke lakini akaokolewa baadaye. Inadaiwa kuwa wamekuwa wakiwalaghai watu na kuwaibia, mtu mmoja akidai walimlangua shilingi elfu 25.

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback