Mwanamke Ngangari: Seneta mteule Bi. Zipporah Kittony
1st May, 2016
Hii leo kwenye makala yetu ya kila jumapili ya mwanamke ngangari tunamuangazia mwanamke ambaye amekabiliana na kila changamoto maishani ili kuibuka kidedea. Seneta mteule Zipporah Kittony anamfumbulia mwanahabari Elvis Kosgei safari ya maisha yake alipomtembelea nyumbani kwake Cherangany, kaunti ya Trans Nzoia.