x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Rais Kenyatta akosa kuhudhuria sherehe za sikukuu za wafanyakazi bustani wa Uhuru

01, May 2016

Sikukuu ya wafanyakazi kote nchini ilifanyika mapema hii leo , huku wanasiasa wakionekana kuchukua fursa hiyo kuwarai wafanyakazi waliofika katika bustani ya Uhuru. Jukwaa lilibadilika na kuwa la kisiasa huku swala la IEBC likionekana kuwa mada kuu katika siku ya leo.na kama anavyoarifu mwanahabari wetu Hussein Mohammed wafanyakazi hao waliondoka wakilalama kwa kukosa kupata nyongeza ya marupurupu huku viongozi wa upinzani wakikosa kufika.

POPULAR NEWS VIDEOS


Feedback